JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Vijana wa bodaboda jijini Mbeya wamemtumia salamu RPC Mbeya bwana Kidavashari kwa kuwabeba watuhumiwa wa mauaji ya waendesha bodaboda jijini Mbeya.
Kidavashari anatuhumiwa kuwabeba watuhumiwa mbalimbali hapo jijini Mbeya ambao wanastahili kufikishwa mikononi kwa sheria.
Bwana Kidavashari pia anatuhumiwa kumbeba muuza mirunda mashuhuri jijini Mbeya, ambaye alimpiga nurse aliyekuwa kazini katika hospitali ya rufaa Mbeya.
IGP ukiona waendesha bodaboda jijini Mbeya wameanza kuua watuhumiwa wa wizi wa bodaboda, ujue Kidavashari anahusika.