Msaada kujaza fomu ya viza

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Habari zenu wana jukwaa?

Nina ndugu yangu amepata mwaliko Sweden,tatizo hana uzoefu wowote na mambo ya kuomba viza.

Ninaomba msaada kwa yoyote mwenye uzoefu juu ya mambo haya tuwasiliane kwa pm.

Tunapatikana Dar.
 
Back
Top Bottom