Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,133
Wakuu,
NImepita hapa eneo la Buguruni kwenye kiwanda cha Said Salim Bakheresa & Co Ltd ambapo reli ya kati imekatiza kwenye barabara ya Mandela kuna zoezi la bomoabomoa linaloendeshwa na kampuni ya reli Tanzania (TRL) dhidi ya watu waliofanya maendelezo ndani ya eneo la reli, nmeshndwa kupiga picha ila kuna ulinzi mkali wa Jeshi la polisi na magari 2 ya maji ya kuwasha.
=====
Lakini, Sheria inasemaje?