Hii ya TBC imekaaje...??

Bahimba

JF-Expert Member
May 8, 2013
510
346
Habari wana bodi wenzangu, juzi nilisoma pahara katika mitandao ya kijamii nitakutana na habari ya Rais wa Marekani bwana trump kua kamsifia Mh Rais wetu Dr Magufuri, na habari hiyo ikasemekana kurusha na kituo chetu cha taifa cha television yaani TBC 1.
Siku shangaa sana maana ni jambo la kawaida kwa Viongozi wakubwa kuwasifu Viongozi wa nchi za kiafrika pindi wanapoona kua wanaongoza katika msingi ambayo wanaona inafaa.
Sasa kilicho nifanya mpaka niandike uzi huu nipale leo nilipokutana na taarifa kua taarifa iliyotolewa na shirika letu la utangazaji haikua sahihi mpaka kupelekea wafanyakazi 9 wa kituo hicho pendwa kasimamishwa kazi kwa kutangaza jambo ambalo si sahihi,
Sasa nimebaki na maswali lukuki ambayo majibu yake sina.
1.Taarifa hiyo TBC1 waliitoa wapi..?
2.Kwa wataalamu wa mambo ya media kuna utaratibu gani ambao hutumika kupeleka habari hewani pindi inapofika katika vyombo vya habari.
3.Nani wa kulaumiwa hapo TBC1.
4.Watarejesha vipi imani ya watazamaji wa TBC1 kua habari zinazotolewa pale ni za kweli ni hayo tu.
 
Yaani ata kifurushi kikiisha naonaga bora nitizame muvi au hamorapaz song kulko hiyo channel
 
IMG_20170314_224421_824.jpg
 
Back
Top Bottom