Miss Tanzania 2016(Diana,) na Miss Afrika 2016(Julitha) watengenezewe Platform

Deogratius Kisandu

Verified Member
Dec 2, 2012
1,335
2,000
Nilicho kiona hapa in kuwa baada ya mashindano warembo hutelekezwa na kutegemea nguvu zao kujiweka sawa.

Ni muda muafaka WA kuwa na njia mbadala ya kuwapa platform kulingana na vipaji vyao ili waweze kujinakishi.

Mataifa mengine huwapa platform ya kikazi wale wote waliofika walau Top 10,

Tanzania tujipange upya.

Rev. Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania.
 
Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,623
2,000
Nilicho kiona hapa in kuwa baada ya mashindano warembo hutelekezwa na kutegemea nguvu zao kujiweka sawa.

Ni muda muafaka WA kuwa na njia mbadala ya kuwapa platform kulingana na vipaji vyao ili waweze kujinakishi.

Mataifa mengine kama Nigeria hupewa platform ya kikazi wale wote waliofika walau Top 10,

Tanzania tujipange upya.

Rev. Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania.
Kuna kitu hakiko sawa Kichwani kwako.
Nashauri upelekwe kwa Mganga wa Kienyeji ASAP
 
Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
21,684
2,000
Hata hili umeliweka kwenye Jukwaa la Siasa....dizain mkuu unashida sio bure
Jamaa lengo lake nikupata attention na amefanikiwa kwakweli
Ila tukiweka siasa pembeni tuzungumze uhalisia...kisandu umepatwa na mvulugo wa kichwani.....
Nini kimekusibu ndugu.
Umekunywa mbege ya wapi? Habari zako hazieleweki. Huu uzi umepeleke jukwaa la celebrities
Peleka kuleeeee kwa watu maarufu au michezo
 
sunday jr

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
366
500
hahaaaa! mleta uzi anatafta kiki mnataka kusema hajui huu uzi huku si mahala pake?
 
Nena

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
2,306
2,000
Nilicho kiona hapa in kuwa baada ya mashindano warembo hutelekezwa na kutegemea nguvu zao kujiweka sawa.

Ni muda muafaka WA kuwa na njia mbadala ya kuwapa platform kulingana na vipaji vyao ili waweze kujinakishi.

Mataifa mengine huwapa platform ya kikazi wale wote waliofika walau Top 10,

Tanzania tujipange upya.

Rev. Deogratius Kisandu
Kahama-Tanzania.
Mkuu huu uzi hamishia kwenye jukwaa la celebrities
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
10,765
2,000
Sijaelewa anataka attention ya nini! Masuala yote muhimu anakuja na uzi kama hhuu.....! Au ametumwa na Lundenga..Miss You iliishia pale walihongwa wakampa Miss Bibi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom