Msaada wa kujua ushuru wa magari bandarini (TRA)

kashobozi

Member
Dec 13, 2010
40
9
Habarini wana janvi, Nimejikusanya kwa kipindi sasa, na nimefikia uamuzi wa kununua gari ila tatizo langu ni kuwa sijui gharama za ushuru wa magari hapo TRA. nataka ninunue gari ya mwaka 2004 yenye ukubwa wa CC 2300 kwa gharama ya $ 10,700 CIF price, je naweza tozwa kiasi gani hapo TRA?. Please mwenye ujuzi na mambo haya anipe taarifa ili nione najipanga kivipi, nimefanya hivo nikijua kuwa hapa janvini kuna watu wenye ujuzi mbalimbali.
 
nipe aina ya gari nikukokotolee sasa hivi,nipe make na model ya gari

Toyota vitz 2000 cc 1500 na toyota vitz 1999 cc 997 nakuomba unisaidie
Na nimesikia kuna charge nyingine kama shiping line port charge na makorokoro mengine naomba kufahamishwa.
 
kashobozi hapo hapo ndo penyewe, unaweza kujua makadirio ya ushuru, fuata maelekezo kila kitu kinajieleza
Hapo ndo kuna nn, mm naomba nijue gharama ya ushuru ili ni plan mapema kiasi gani niandae juu ya hiyo bei ya CIF
 
Last edited by a moderator:
Toyota vitz 2000 cc 1500 na toyota vitz 1999 cc 997 nakuomba unisaidie
Na nimesikia kuna charge nyingine kama shiping line port charge na makorokoro mengine naomba kufahamishwa.

VITZ CC997 MORE THAN 10 YRS
Motor vehicle with less than 1000cc (Aged more than 10 Years)
Example of vehicles: Toyota Vitz model SCP10, Toyota duet Model M100 , Nissan March Model K11, Suzuki Carry Model DD51 and Mazda Demio DW3W
GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION
Current Retail Selling Price 18,438
Depreciation80%
Freight
Customs value 2,000
FOB Value 2,000
Import Duty 25% 500
Excise Base for vehicle aged more than 10 years 625
VAT Base 3,125
VAT 18% 563
Total Taxes 1,688
Total Taxes in TSHs 2,725,386
Total tax Tsh 2,725,386
Shipping line 350,000 approx
Port charges 150,000
plate number 40,000
clearing agent 200,000

VITZ CC1500 MORE THAN 10 YRS

Current Retail Selling Price 19,359
Depreciation80%
Freight
Customs value 2,100
FOB Value 2,100
Import Duty 25% 525
Excise Base for vehicle aged more than 10 years 656
VAT Base 3,281
VAT 18% 591
Total Taxes 1,772
Total Taxes in TSHs 2,861,523
Shipping line 350,000 approx
Port charges 150,000
plate number 40,000
clearing agent 200,000 HAYA KANUUE JI-VITZ LAKO
 
SORRY YA CC 1300 NI HII HAPA MILIOSEA KIDOGO
Motor vehicle with more than 1000cc but not exceeding 2000cc (Aged more than 10 Years)
Example of vehicles: Toyota Mark II Model GX110, Toyota Corolla, Subaru forester, RAV4,Pajero Junior (io)
GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION
Current Retail Selling Price 19,359
Depreciation80%
Freight
Customs value 2,000
FOB Value 2,000
Import Duty 25% 500
Excise Base for vehicle aged more than 10 years 625
Excise Base 2,500
Excise Duty 5% 125
VAT Base 3,250
VAT 18% 585
Total Taxes 1,835
Total Taxes in TSHs 2,963,468
 
Motor vehicle with more than 2000cc
Example of vehicles: Toyota Mark II Model JZX110, MARK X, PRADO, NISSAN SAFARI, RANGE ROVER, TOYOTA HARRIER, LAND ROVER
GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION
Current Retail Selling Price 50,703
Depreciation70%
Freight
Customs value 7,500
FOB Value 7,500
Import Duty 25% 1,875
Excise Base 9,375
Excise Duty 10% 937
VAT Base 10,312
VAT 18% 1,856
Total Taxes 4,669
Total Taxes in TSHs 7,540,013
KODI APPROX 7.54MIL MKUU

Habarini wana janvi, Nimejikusanya kwa kipindi sasa, na nimefikia uamuzi wa kununua gari ila tatizo langu ni kuwa sijui gharama za ushuru wa magari hapo TRA. nataka ninunue gari ya mwaka 2004 yenye ukubwa wa CC 2300 kwa gharama ya $ 10,700 CIF price, je naweza tozwa kiasi gani hapo TRA?. Please mwenye ujuzi na mambo haya anipe taarifa ili nione najipanga kivipi, nimefanya hivo nikijua kuwa hapa janvini kuna watu wenye ujuzi mbalimbali.
 
Motor vehicle with more than 2000cc
Example of vehicles: Toyota Mark II Model JZX110, MARK X, PRADO, NISSAN SAFARI, RANGE ROVER, TOYOTA HARRIER, LAND ROVER
GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION
Current Retail Selling Price 50,703
Depreciation70%
Freight
Customs value 7,500
FOB Value 7,500
Import Duty 25% 1,875
Excise Base 9,375
Excise Duty 10% 937
VAT Base 10,312
VAT 18% 1,856
Total Taxes 4,669
Total Taxes in TSHs 7,540,013
KODI APPROX 7.54MIL MKUU

So gari ya mwaka 2005 RAV4 New model, bei dolar 6000 ukiweka usafiri hadi bongo daslam 7400 kodi yake itakuwa ile ile ya gari older than 10 yrs kwa CC tajwa???
 
Motor vehicle with more than 2000cc
Example of vehicles: Toyota Mark II Model JZX110, MARK X, PRADO, NISSAN SAFARI, RANGE ROVER, TOYOTA HARRIER, LAND ROVER
GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION
Current Retail Selling Price 50,703
Depreciation70%
Freight
Customs value 7,500
FOB Value 7,500
Import Duty 25% 1,875
Excise Base 9,375
Excise Duty 10% 937
VAT Base 10,312
VAT 18% 1,856
Total Taxes 4,669
Total Taxes in TSHs 7,540,013
KODI APPROX 7.54MIL MKUU

Nashukuru sana bwana mafuru, gharama ziko juu sana yaani TRA wanakamua kwelikweli, it is like your paying more that 80% of total CIF price, hv kwanini wasitumue gharama uliyonunulia gari kama base ya kufanya mahesabu ya ushuru? Haya mambo ya depreciation siyo kabisa wanatuumiza sana
 
Acha tu kaka juzi niliagiza ka IST CC1490 ,mwaka 2004/june,cheki mchanganua hapo chini,
C & F 3000usd approx TZS 4,900,000
Total taxes plus reg card approx TZS 3,600,000
Shipping line TZs 350,000
port charges tzs 150,000
plate number tzs 40,000
clearing agent fee tz 200,000
haijakaa barabara kwa maana ya road license(150,000 nafikiri),insuarence(500,000) ambavyo bado sijapata hela yake nimeamua kulipaki na kuliwasha kila asubuhi ha ha ha,
JUMLA 9,240,000 + 650,000=9,890,000 MILIONI KUMI KASORO LAKI NA KUMI 1,10,000

Nashukuru sana bwana mafuru, gharama ziko juu sana yaani TRA wanakamua kwelikweli, it is like your paying more that 80% of total CIF price, hv kwanini wasitumue gharama uliyonunulia gari kama base ya kufanya mahesabu ya ushuru? Haya mambo ya depreciation siyo kabisa wanatuumiza sana
 
VITZ CC997 MORE THAN 10 YRS
Motor vehicle with less than 1000cc (Aged more than 10 Years)
Example of vehicles: Toyota Vitz model SCP10, Toyota duet Model M100 , Nissan March Model K11, Suzuki Carry Model DD51 and Mazda Demio DW3W
GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION
Current Retail Selling Price 18,438
Depreciation80%
Freight
Customs value 2,000
FOB Value 2,000
Import Duty 25% 500
Excise Base for vehicle aged more than 10 years 625
VAT Base 3,125
VAT 18% 563
Total Taxes 1,688
Total Taxes in TSHs 2,725,386
Total tax Tsh 2,725,386
Shipping line 350,000 approx
Port charges 150,000
plate number 40,000
clearing agent 200,000

VITZ CC1500 MORE THAN 10 YRS
Motor vehicle with less than 1000cc (Aged more than 10 Years)
Example of vehicles: Toyota Vitz model SCP10, Toyota duet Model M100 , Nissan March Model K11, Suzuki Carry Model DD51 and Mazda Demio DW3W
GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION
Current Retail Selling Price 19,359
Depreciation80%
Freight
Customs value 2,100
FOB Value 2,100
Import Duty 25% 525
Excise Base for vehicle aged more than 10 years 656
VAT Base 3,281
VAT 18% 591
Total Taxes 1,772
Total Taxes in TSHs 2,861,523
Shipping line 350,000 approx
Port charges 150,000
plate number 40,000
clearing agent 200,000 HAYA KANUUE JI-VITZ LAKO

Ila mm vitz yangu ni model nsp 13 sio nsp kama mm nimeona umepiga kwa model hiyo vp bei haibadiliki kulingana na model
 
Back
Top Bottom