Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Wana Jf
Huyu Rais mstaafu lazima tumkubali pamoja na mengine ambayo wengine hawaweI kutambua ila kwa majanga na mafuriko alikuwa mwenyewe, alikuwa Rais mpendwa na mpenda watu sana hata wakuu wa mikoa kama Mek Sadik ambaye ni mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa sasa, ilikuwa majanga, mafuriko yakitokea tu utawaona wameshaenda ndani ya muda mchache sana ilimradi mnvua ziwe zimetulia kidogo tu, niulize mioyo yao ilikuwa ina nini mpaka waende kwa haraka sana kuwajulia watu hali, mara ya mwisho nlimuona kikwete darajani akiwahoji ma engenieur wa jiji, hivi kweli kuna hatua ambazo zina takiwa kuchukuliwa na viongozi kwa muda na kwa wakati ili wananchi wapate faraja?