Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Utatakiwa kujibu maswali utakayoletewa kwenye hiyo link,baada ya kujibu kulingana na majibu uliyotoa itakuletea umri wako unaoendana na matendo yako....
kipimo kinatoa majibu kulingana na utakavyojaza..ukijaza vitu ambavyo vinapendwa au kufanywa na watoto sana basi utapewa umri wa chini...vya kiutu uzima utapewa mkubwa...
Mfano Le mutuz anavyofanya akijaza hapo kwe,i anavyofanya basi atatajiwa umri wa chini sana