Ulozi: Nini sababu na madhara ya kuchanjwa chale?

lyoni

Member
Feb 23, 2016
34
16
Juzi nimeamka name kujikuta nimechanjwa chale 2 juu mkono wa kushoto. Moja iliingia kidogo. Chale hizo zililala sambamba kama nambari 11.

Naomba kujuzwa humu, nini sababu na madhara yake? Sehemu gani na mpangilio gani mwingine ambao wengine huchanjwa?

Nawasilisha..
 
Mwana we tayari yaani kama vipi maombi kwa sana bila hivyo utatumikishwa na wachawi mpaka uombe po,hiyo mambo hainaga faida always ni majanga tu.
 
Juzi nimeamka name kujikuta nimechanjwa chale 2 juu mkono wa kushoto. Moja iliingia kidogo. Chale hizo zililala sambamba kama nambari 11.

Naomba kujuzwa humu, nini sababu na madhara yake? Sehemu gani na mpangilio gani mwingine ambao wengine huchanjwa?

Nawasilisha..
Mm mwenyewe leo nimepigwa chalé mbili mkono wa kulia
 
Juzi nimeamka name kujikuta nimechanjwa chale 2 juu mkono wa kushoto. Moja iliingia kidogo. Chale hizo zililala sambamba kama nambari 11.

Naomba kujuzwa humu, nini sababu na madhara yake? Sehemu gani na mpangilio gani mwingine ambao wengine huchanjwa?

Nawasilisha..
Pole sana jamaa walitumia mwili wako kama kitendea kazi cha kufanyia mambo yao
 
Back
Top Bottom