swali mkurupuko

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
10,913
13,232
nauliza tu wadau, hivi yule aliyetobolewa macho na Scorpion, kesi yake iliishia wapi? na vipi bwana bashite bado anampa msaada kupitia ile kampuni yake ya GSM?
 
Matukio ni mengi sana tokea Magu kuikamata ikulu. Sijawasikia akina Muingulu Nchemba, Membe, Pinda na January Makamba acha huyu Scorpion.


Ndukiiiii
 
Back
Top Bottom