Hbr ba ndugu,naomba kujuzwa neno "package" kwa askari lina maana gani?Nauliza kwasababu kunasehemu nilikua nikakuta màbishano makali ya askari police vs magereza,police akimwambia magereza nyie sio askari ni mgambo ndio maana Rais hawapi package,Hilo neno ndio nn?maana mabishano yalikua makali nusura yalete ugomvi wa ngumi baina ya yao.