Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,727
Habari wakuu, shindano hili nimekuwa nikilifuatilia tangu mwaka jana ambapo mshindi huibuka na zawadi ya Gari.
Ni rahisi sana kushiriki lakini ili ushinde kuna jitihada kubwa sana inahitajika maana wanahesabu pont kulingana na vigezo vingi walivyoweka ikiwemo kualika watu wengi kujiunga na mtandao huo wa uuzaji wa magari.
Nadhani wamelenga kuongeza idadi ya wateja kwa njia hiyo, licha ya changamoto zilizopo, nimetafiti na nimethibitisha kuwa ni shindano halisi hivyo anayedhani anaweza kushiriki anaweza kubonyeza hapa na kufuata maelekezo, CAR FROM JAPAN : Car From Japan Grand Giveaway 2017
Moderators jiridhisheni kama mnamashaka