Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,012
- 121,292
Yule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.
Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.
Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.
Hey Gwajima...where you at man?