jk kisiwa
Senior Member
- May 31, 2016
- 131
- 97
Ikiwa ni siku chache tu mkulu wa nchi ametoka kuwasifia shirawadu leo tumeona video inayosambaa inayomuhusu askofu gwajima ambayo ni hao hao shilawadu ndio wanahusika kwa kumuhoji huyo mama ambae anadai amejifungua mtoto na askofu gwajima je huo sio mpango ambao ulikuwa unatengenezwa na kupewa baraka kutoka juu