Tanzania ni nchi bora sana!

nkulikwa

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
721
813
Raisi wetu anapenda tuendeleee na kuwa na Taifa imara kiuchumi na lenye uongozi wenye nidhamu; tatizo kubwa ninaloliona ni ukosefu wa weredi wa kushauriana na kuyafuma mawazo ya majadiliano ili kutimiza kiu yake ya maendeleo na uongozi kwa Watanzania! Na pili ni kwamba anaamini wana CCM ndiyo wanaoweza kumsaidia kuchavuta kasi ya maendeleo lakini angeamini ni watanzania wote na akawatazama kama anavyowaona wana CCM tungekuwa mbali sana kwa sasa!!
 
Back
Top Bottom