Face Threaten Act

Chachata

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
201
134
Tujadiri kwa pamoja leo hii concept ya Face threatening act. Nimekosa tafsiri sahihi lakini katika taaluma ya isimu, wanaisim wanatafsiri face threatening act kama tamko linalodidimiza/ondoa hadhi ya mtu (Is ana utterance that threaten one's public self image)

Katika mwezi huu kuna watu nyuso zao zimeinama, hadhi zao zimeshuka, their face are threatened.

Yupo mtu amekuwa akitambulika kama makonda, sasa hivi anaitwa Bashite. His public image is threaten, dunia imetambua kuwa huyu siyo makonda ni Daud bashite. Matendo yake yamemuumbua.His face is threatened hata kama anajifanya kugangamara

Wa pili ni waziri wa katiba na sheria. Huyo naye uso wake umeinama, kajivunjia heshima, tamko lake la kupiga Mh Tundu Lisu asigombee urais wa TLS limemuumbua, his face is threatened hawezi tena kuinua uso wake mbele ya wanataaluma wenzeka.

Hata tamko lake la kuwataka watanzania wawe na vyeti vya kuzaliwa lilipingwa, mpiga tamko ameshusha uso wa waziri Mwakyembe, amefanya act ya ku-threaten face ya waziri, wanaisim wanaita kitendo hicho Bold on record.

Face threanting act imefanya kazi mwezi huu, tunaomba Sizonje afanye bold on record kwa bashite ili abalance face threatening act kotekote
 
Hawa watu nyuso zao na mioyo yao imeinama , na wanajikaza tu kusesema vijineno angalau wagaain confidence bahati mbaya zaidi watu wanawapuuza .
 
Hawa watu nyuso zao na mioyo yao imeinama , na wanajikaza tu kusesema vijineno angalau wagaain confidence bahati mbaya zaidi watu wanawapuuza .
Sasa na wewe mkuu hiyo avatar ya mzee "ruksa" unaipenda sawa, je utaweza kuiishi?
 
Back
Top Bottom