Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,133
Zaidi ya Masaa 24 kutoka sasa Maji yanatiririka Hapa Ilala Mtaa wa Lindi, na huu mtaa ni mkubwa na barabara yake inapitwa na magari mengi sana kutoka Machinga complex, Shaurimoyo hadi Ilala Bungoni na wenye kuupita huo mtaa kuanzia jana nazank mmeona,
Yani mpka najiuliza iweje maji yavuje masaa 24 na cha ajabu DAWASCO wamelala na maji yanavuja tuu bila kuchukua hatua zozote
Na kwahali hii yatavuja mpka Jumatatu maana leo n weekend na DAWASCO wapo wamelala
NB;Nataka niweke Video lakini inakataa wakuu