Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,232
- 1,196
Kama mtakuwa mmeweka kumbukumbu vizuri nadhani mtayakumbuka maneno haya alisema hvi nanukuu ""ole wake yule atakaye simama na kumtetea daudi bashite huyo naye atakwenda na maji""" kipande hichi cha maneno ya Baba askofu naona aliyo yazungumza yanaenda kutimia.
Falme nebukadneza aliandikiwa maneno haya ukutani "MENEMENE TEKELI NA PERESI" maana yake "Ufalme wako umepimwa na umeonekana umepungukiwa nawe unatanyang, anywa na kupewa wayaudi na waajemi" kama sijakosea walio na Bible watanisahiisha. Hii ni sawa na Bashite daudi amepimwa nakuonekana kuna vitu vimepungua sasa muda umefika wa yy kutoka pale alipopandishwa na kushushwa hata siku moja usimdhihaki Mungu kwa namna yoyote ile ,mtukane mtuyoyote dunia hii ila si Mungu wetu aliyetuumba na kutupa mamlaka .
Kuna mfalme kwenye Bible Mungu alimfanya moyo wake uwe mgumu sana ili baadae Mungu ajichukulie utukufu hii haina tofauti na Bashite ambapo alipo ambiwa kwa mara ya kwanza atoe vyeti akuzungumza alikaa kimya ila siku zinavyolwenda watu walizidi kumshupalia na Mungu alizidi kuufanya moyo wake kuwa mgumu kusemea hili swala la vyeti ili liishe matokea yake ameumbuka kwa kakamera kadogo kaliko fugwa kwenye angle moja kwenye gypsum pale reception ya clods so unaweza ona kinatumika kitu kidhaifu kuaibisha vyenye nguvu.
LA MWISHO DAUDI BASHITE uliambiwa ila ulishupaza shingo, utawala wako wa Dar esalam umepimwa na kuonekana umepunguka .kwa hyo basi umebakiza masaa machache sana kwenye kiti icho ulisho kalia .hili litakuwa funzo kwa watu wote kwamba. ,cheo ni dhamani usijitwalie utukufu wa Mungu ukajiona ww ni Mungu mtu maneno na vilio vya watu Mungu anaviona ,nyenyekea na Mungu atakukweza kwa wakati wake.