Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Ushindi wa Tundu lissu katika uchaguzi wa TLS ni ishara kuwa watanzania wengi hawajasoma ni mambumbumbu. Tundu lissu alipigwa sana vita juu ya nafasi aliyogombea kwenye uchaguzi huu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa John Pombe Magufuli alitamka wazi kumpinga msomi huyo wa sheria juu ya kugombea nafasi hiyo na mwanasheria mbobezi na waziri wa Katiba na sheria Mheshimiwa Mwakyembe akatishia kufutilia mbali chama cha TLS iwapo Tundu Lissu atashinda kitu ambacho kingepelekea kupoteza kwa ajira kwa mawakili lakini japo vikwazo vilivyokuwepo wasomii wanasheria wamepuuzia kitisho cha Rais pombe na waziri mwakyembe na kumchagua gwiji la sheria Tundu Lissu.
Ninachojiuliza inakuwaje watanzania tunachagua viongozi wabovu sana hata hawana uwezo wa kutusaidia kwa vyovyote leo ndo nimejua watanzania wengi hatujaenda shule laiti tungeelimika kama hawa mawakili tusingechaguliwa viongozi tukitaka kujikomboa kwa nchi tuhamasishe vijana wetu waende shule vinginevyo nchi hii hakuna maendeleo Amini Msiamini kama uchaguzi wa TLS wasingechagua wasomi leo ungesikia Tundu Lissu kapata kura 2 yake na ya mke wake labda na kibatara kwa aibu. UMBUMBU NDO CHANZO CHA VIONGOZI WABOVU TANZANIA