Serikali ya Magufuli manji raia wa Tanzania

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
Ndugu wa tanzania wenzangu pole na kazi.

Kwa mujibu wa sheria na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania sheria sheria za uchaguzi zinataka mtu yeyote anayegombea uongozi au kazi lazima awe raia wa Tanzania sasa je, nec hawakufikilia hadi wamkubali manji kugombea udiwani wa mbagala kuu wakati si raia wa Tanzania? Je, TFF ilikubali vipi kumpa mamlaka ya kuongoza klabu ya Yanga kama si raia wa Tanzania.

Karibu tujuzane kwamba kuna kasoro gani
 
Hata mimi naishi Tanzania kama 'mtanzania' ingawa nina passport ya Tanzania na UK ila siku mamlaka husika zikijua hilo nakuwa sio raia wa Tanzania.
 
Alichukua vipi kadi ya ccm kama sio mtanzania?
Alichukua vipi form ya kugombea udiwani kwa kupitia ccm kama sio mtanzania?
Hii serikali imejaa chuki na visasi.
 
unajua bashite na sizonje ni watu wa ishu ndo hzo znazowapa shda hao gsm na nas haulage na hao matajie wengne mana inapotokea wakaombwa pesa au hata msaada mkubwa nao wakazngua ndo hvyo wanabambikiwa kesi zisizo na kichwa wala miguu....bt manji aliombwa msaada akazngua ndo wanamtaftia zengwe had tym hii
 
Mkuu ninachotaka kujua kama manji sio raia wa Tanzania aligombeaje udiwani na uenyeki ws klabu ya yanga ina maana tutie shaka kuanzia tff na nec
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Alichukua vipi kadi ya ccm kama sio mtanzania?
Alichukua vipi form ya kugombea udiwani kwa kupitia ccm kama sio mtanzania?
Hii serikali imejaa chuki na visasi.
Hata mimi ninachoshangaa ni hicho tu mtu wa Asia amekuja kugombea udiwani na uenyekiti Tanzania
 
Ndugu wa tanzania wenzangu pole na kazi.

Kwa mujibu wa sheria na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania sheria sheria za uchaguzi zinataka mtu yeyote anayegombea uongozi au kazi lazima awe raia wa Tanzania sasa je, nec hawakufikilia hadi wamkubali manji kugombea udiwani wa mbagala kuu wakati si raia wa Tanzania? Je, TFF ilikubali vipi kumpa mamlaka ya kuongoza klabu ya Yanga kama si raia wa Tanzania.

Karibu tujuzane kwamba kuna kasoro gani
Hawakujua kuwa sio raia sab wao sio uhamiaji au rita
 
Leo hii mfadhili wa chama sio RAIA,Sasa wewe mwanachama mlalahoi hadhi yako ni maiti,Nina hakika na hili
 
Figisu Figisu tuu hapo hamna la zaidi sasa hivi si kujenga Nchi ni chuki na Visasi tuu Bongo...
 
Back
Top Bottom