Hongera Serikali kwa Ajira Mia Tano(500) Za Madaktari Wetu

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Nianze kwa kuipongeza Serikali kushirikiana na wizara ya Afya kuwaruhusu madaktari wetu kwenda kuwasaidia jirani zetu Kenya hii ni Sawa na kusema Serikali yetu imewapatia Ajira 500 madaktari wetu,

La Msingi Watanzania tunapopata Fursa ni Vizuri kuzitumia Kisawasawa ingekua leo ni Tanzania Imeomba madaktari Kutoka Kenya Naimani Tayari Namanga ingekua imejaa Wageni kuja huku,Tuache kuwatisha Vijana wetu tuwaache wakafanye kazi na pia itawawezesha kupata Ujuzi mpya kutoka kwa wenzao ambao ni Faida kwa taifa letu.

Ninaimani Vijana wakienda wakifanya Vizuri kesho na keshokutwa Watakuja kuomba tena wataalamu wengine wawe ni Walimu wa Kiswahili wataalamu wa kilimo...nk

Leo nchi kama China imekua na Maendeleo Makubwa kwa sababu imeruhusu watu/wataalamu wake kutoka na kwenda mataifa mengine kufanya kazi au kujifunza zaidi.Waliosoma Udaktari Watakubaliana na mimi Udaktari ni Zaidi ya Pesa udaktari ni Ethics&Dignity japo Dokta anatakiwa ale Vizuri,Aishi Vizuri yani kwa kifupi apate zile Basic needs za mwanadamu kwa kiwango bora zaidi ili aweze kufanya kazi zake vizuri.

Kuhusu mashirikiano Sinashaka watapata ushirikiano tena mzuri sana kutoka kwa wenyeji naimani hata huku kwetu kuna wataalamu kibao kutoka Kenya na wanapata Ushirikiano Mzuri sana na pia kuhusu Usalama pia Sina shaka Serikali yetu inajali sana watu wake mpaka iruhusu madaktari wake wakafanye kazi huko najua mawechunguza kila kitu na kuona kipo shwari.

Angalizo Utashangaa tunapotosha Vijana wetu kwa Maneno ya kisiasa zaidi kuhusu kwenda huko ikitokea ameenda kuomba nchi nyingine Jirani labda Uganda Tunaanza kulalamika,

Sioni Tatizo lolote Madaktari wetu kwenda kumsaidia Jirani Yetu pia itakua mwanzo wa kufungua ajira Zaidi kwa Vijana wetu kumbuka Tupo Jumuiya ya Afrika Mashariki Ni Free Market kwa sasa.

Niwatakie Utendaji Mzuri wa kazi Madokta wote watakaobahatika kwenda huko Msisahau Viapo Vyenu vya kazi tu..
 
mimi bado sina Imani sana na hao jirani. Mwl wangu enzi hizo UD alienda huko akarudi "malihemu". RIP DR. Mtotomwema
 
Uwiii amuwajui wakenya nyie.Watauwawa wote ,jamani hata kama hakuna ajira No tusikubali wenzetu wanaushirikiano sana
 
Nianze kwa kuipongeza Serikali kushirikiana na wizara ya Afya kuwaruhusu madaktari wetu kwenda kuwasaidia jirani zetu Kenya hii ni Sawa na kusema Serikali yetu imewapatia Ajira 500 madaktari wetu,

La Msingi Watanzania tunapopata Fursa ni Vizuri kuzitumia Kisawasawa ingekua leo ni Tanzania Imeomba madaktari Kutoka Kenya Naimani Tayari Namanga imekua imejaa Wageni kuja huku,Tuache kuwatisha Vijana wetu tuwaache wakafanye kazi na pia itawawezesha kupata Ujuzi mpya kutoka kwa wenzao ambao ni Faida kwa taifa letu.

Ninaimani Vijana wakienda wakifanya Vizuri kesho na keshokutwa Watakuja kuomba tena wataalamu wengine wawe ni Walimu wa Kiswahili wataalamu wa kilimo...nk

Leo nchi kama China imekua na Maendeleo Makubwa kwa sababu imeruhusu watu/wataalamu wake kutoka na kwenda mataifa mengine kufanya kazi au kujifunza zaidi.Waliosoma Udaktari Watakubaliana na mimi Udaktari ni Zaidi ya Pesa udaktari ni Ethics&Dignity japo Dokta anatakiwa ale Vizuri,Aishi Vizuri yani kwa kifupi apate zile Basic needs za mwanadamu kwa kiwango bora zaidi ili aweze kufanya kazi zake vizuri.

Kuhusu mashirikiano Sinashaka watapata ushirikiano tena mzuri sana kutoka kwa wenyeji naimani hata huku kwetu kuna wataalamu kibao kutoka Kenya na wanapata Ushirikiano Mzuri sana na pia kuhusu Usalama pia Sina shaka Serikali yetu inajali sana watu wake mpaka iruhusu madaktari wake wakafanye kazi huko najua mawechunguza kila kitu na kuona kipo shwari.

Angalizo Utashangaa tunapotosha Vijana wetu kwa Maneno ya kisiasa zaidi kuhusu kwenda huko ikitokea ameenda kuomba nchi nyingine Jirani labda Uganda Tunaanza kulalamika,

Sioni Tatizo lolote Madaktari wetu kwenda kumsaidia Jirani Yetu pia itakua mwanzo wa kufungua ajira Zaidi kwa Vijana wetu kumbuka Tupo Jumuiya ya Afrika Mashariki Ni Free Market kwa sasa.

Niwatakie Utendaji Mzuri wa kazi Madokta wote watakaobahatika kwenda huko Msisahau Viapo Vyenu vya kazi tu..
wenzao wamegoma wanatafuta masilah ninyi mnapeleka kimbelembele.
 
Madaktari wa Kenya wamegoma kwa sababu ya kutafta mwafaka kuhusu maslahi yao. Leo hii ninyi mnashangilia madaktari wetu kupelekwa huko kwa ajili ya "kuwakomoa" hao waliogoma, halafu mnajidanganya eti watapokelewa vizuri na wenzao. Hiyo ni sawa na vita. Ni sawa na kupeleka wanajeshi wako eneo ambalo kuna waasi wanaopambana na serikali. Jiandae kupokea "marehemu" kadhaa kama casualties wa "vita".

By the way, sisi tumeshajitoheleza katika hilo?

Wajuvi wa mambo, hasa madaktari wenyewe na wale mlioko katika vitengo vya utawala mahospitalini tuelezeni uwiano wa daktari kwa wagonjwa sasa hivi ni kiasi gani?
 
Wala sio jamba la kushupalia,wenzao wamegoma halafu wao wanaenda kichwa kichwa,chama cha madaktari Tanzania nilitegemea kiweke pingamizi kuhusu hilo kuwasapoti madakitari wa Kenya,na badala yake kishinikize waajiriwe hapa hapa kwasababu bado tuna uhaba wa kutosha.
 
Nianze kwa kuipongeza Serikali kushirikiana na wizara ya Afya kuwaruhusu madaktari wetu kwenda kuwasaidia jirani zetu Kenya hii ni Sawa na kusema Serikali yetu imewapatia Ajira 500 madaktari wetu,

La Msingi Watanzania tunapopata Fursa ni Vizuri kuzitumia Kisawasawa ingekua leo ni Tanzania Imeomba madaktari Kutoka Kenya Naimani Tayari Namanga ingekua imejaa Wageni kuja huku,Tuache kuwatisha Vijana wetu tuwaache wakafanye kazi na pia itawawezesha kupata Ujuzi mpya kutoka kwa wenzao ambao ni Faida kwa taifa letu.

Ninaimani Vijana wakienda wakifanya Vizuri kesho na keshokutwa Watakuja kuomba tena wataalamu wengine wawe ni Walimu wa Kiswahili wataalamu wa kilimo...nk

Leo nchi kama China imekua na Maendeleo Makubwa kwa sababu imeruhusu watu/wataalamu wake kutoka na kwenda mataifa mengine kufanya kazi au kujifunza zaidi.Waliosoma Udaktari Watakubaliana na mimi Udaktari ni Zaidi ya Pesa udaktari ni Ethics&Dignity japo Dokta anatakiwa ale Vizuri,Aishi Vizuri yani kwa kifupi apate zile Basic needs za mwanadamu kwa kiwango bora zaidi ili aweze kufanya kazi zake vizuri.

Kuhusu mashirikiano Sinashaka watapata ushirikiano tena mzuri sana kutoka kwa wenyeji naimani hata huku kwetu kuna wataalamu kibao kutoka Kenya na wanapata Ushirikiano Mzuri sana na pia kuhusu Usalama pia Sina shaka Serikali yetu inajali sana watu wake mpaka iruhusu madaktari wake wakafanye kazi huko najua mawechunguza kila kitu na kuona kipo shwari.

Angalizo Utashangaa tunapotosha Vijana wetu kwa Maneno ya kisiasa zaidi kuhusu kwenda huko ikitokea ameenda kuomba nchi nyingine Jirani labda Uganda Tunaanza kulalamika,

Sioni Tatizo lolote Madaktari wetu kwenda kumsaidia Jirani Yetu pia itakua mwanzo wa kufungua ajira Zaidi kwa Vijana wetu kumbuka Tupo Jumuiya ya Afrika Mashariki Ni Free Market kwa sasa.

Niwatakie Utendaji Mzuri wa kazi Madokta wote watakaobahatika kwenda huko Msisahau Viapo Vyenu vya kazi tu..
Mtoa mada hapa kijijin kwetu tunatibiwa na mtu tunamwita Dr.lakin cku nimekaa nae kumhoj vizur katika stori za ulevi kumbe aliishia kuunga cheti sijui huko hata degree hana sasa leo hao hao ma professional mnawapeleka kenya wakat huku tunawahitaj mana watu wanakufa huku wanatibiwa na nesi kwa majukumu ya Dr.hamna kwenda huko wakat huku vijijin tuna wahitaj ko akifa mtu huko nitakuwa wa kwanza kushangilia mana wenzao wanataka haki yao huku mnawapeleka wenu
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Back
Top Bottom