Uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa madereva pikipiki (bodaboda)

jaffari yogo

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
685
148
Hongereni sana ndugu wajumbe wa mikoa yote ya Tanzania bara kwa kutumia muda wenu kutwa nzima ya jumatano tarehe 15.03.2017 mkiwa ktk harakati za kuunda chombo cha kitaifa kitakachokuwa na sauti kuu ya bodaboda Tanzania. Hawa ndio Viongozi waliopatikana ktk uchaguzi uliofanyika ktk ukumbi wa chuo cha FUTURE pale Gongolamboto jijini DAR ES SALAAM.
88947ac2d0276c829b900d71b3d38fa1.jpg
b12a02526174ed657af40f394010e814.jpg
(1)Mwenyekiti PHILEMON MWINUKA (NJOMBE)
(2)M/mwenyekiti MASUDI NGINGITE(PWANI)
(3) KATIBU MKUU JIMMY MABONDO(DSM)
(4)K/Katibu WAZIRI KIPUSI(TABORA)
(5)M/hazina IDSAM MAPANDE(KAHAMA. Bila kuwasahau wajumbe wa Kamati kuu Taifa ambao ni :-
1. JAFFARI ODHIAMBO - MARA
2. MUSA ISSA - MANYARA
3. OMARY KOMBO - ILALA
4. ALMANO MDEDE - KINONDONI
5. MSHAMU ALLY - MTWARA
6. MAULID MPONDO - SINGIDA
7. SAID CHENJA - TEMEKE.
8. OSIA ALEX - SONGWE.
Hapa sasa ni kuchapa kazi hakula lelemama.
From Jaffari Odhiambo, Katibu wa bodaboda mkoa wa Mara.
 
Mkiwa kwenye vikao vyenu tunaomba agenda ya kuwa shauri bodaboda waache kuchezea mabint wetu wa secondary iwepo.. Hasa kwa shule za KATA, naliona hili tatizo chanika, kimara Kwa maeneo ya Dar Ila hata mkoani najua lipo Sana. Jitahidini muwashauri waache
 
Back
Top Bottom