Kama ningekuwa Bongo kesho asubuhi

Kama ningekuwa Bongo kesho asubuhi

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,298
Reaction score
47,340
Mzuka wanaJF!

Ndugu zangu wala vumbi mna raha sana. Yani the Bashite Syndrome mko nalo Benet. Kama ningekuwa Leo Bongo Kesho asubuhi na mapema ningekuwa Kwa Gwajima tena kiti cha mbele tukilishwa neno na hapohapo nondo za Bashite, Singe touch Double manifestation!

Aina qwereeeh, Melo alishatutoa JF itatuapdeti na Da Mange mkombozi wa wanyonge naye tutamfollow.

Jitu zima linaombwa cheti linalia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom