Arsenalist1
Senior Member
- Jul 13, 2015
- 163
- 49
Nuliuza gari 3years back... Sasa sikufanya transfer na hio gari sijui iko wapi kwa sasa.. Nilie muuzia hapatikani...ushauri wenu muhimu jinsi yakutoa jina langu kwenye ownership
Wasiliana na mamlaka ya mapato ukiwa na nyaraka zote muhimu
nyaraka hapo ya kwenda nayo tra ni mkataba wa mauzo ya gariNyaraka muhimu atazipata wapi wakati alipaswa awe amemkabidhi aliyemuuzia...!!??
Wazo la msingi ni hilo wazo la kwanza, aende mamlaka angalau kwanza ajue kama huyo mnunuzi wake analipia malipo yote. Na kama atakuwa analipia ni rahisi kujua analipia wapi au kwa namba gani ya simu.
Tafakari...!!
Naona kuna mambo huyajui vema nafahamu vema hayo yote lakini kuna vitu kamaNyaraka muhimu atazipata wapi wakati alipaswa awe amemkabidhi aliyemuuzia...!!??
Wazo la msingi ni hilo wazo la kwanza, aende mamlaka angalau kwanza ajue kama huyo mnunuzi wake analipia malipo yote. Na kama atakuwa analipia ni rahisi kujua analipia wapi au kwa namba gani ya simu.
Tafakari...!!
Mkuu ulipouza hilo gari ulilipa kodi yote ya mauzo? Huu tayari umeshakua msala mwingine,, ukigusa TRA tu kwamba uliuza gari watakuhoji kodi yao na kama hukulipa itabidi ulipe kabisa!! Sasa chagua moja umtafute kimya kimya mpaka umpate au uende kuripoti TRA? Mimi nafikri kabla hujaenda kujikamatisha TRA, ingiza kwanza hizo namba za gari kwenye mtandao wa TRA uone kama bado inadaiwa!!Nuliuza gari 3years back... Sasa sikufanya transfer na hio gari sijui iko wapi kwa sasa.. Nilie muuzia hapatikani...ushauri wenu muhimu jinsi yakutoa jina langu kwenye ownership
Kama ana nyaraka za mauziano zitamsaidiaMkuu ulipouza hilo gari ulilipa kodi yote ya mauzo? Huu tayari umeshakua msala mwingine,, ukigusa TRA tu kwamba uliuza gari watakuhoji kodi yao na kama hukulipa itabidi ulipe kabisa!! Sasa chagua moja umtafute kimya kimya mpaka umpate au uende kuripoti TRA? Mimi nafikri kabla hujaenda kujikamatisha TRA, ingiza kwanza hizo namba za gari kwenye mtandao wa TRA uone kama bado inadaiwa!!
Kweli mkuu, kwa vile lazima kuna malipo amefanya na pengine hata fine ameshapigwa.Wasiliana na mamlaka ya mapato ukiwa na nyaraka zote muhimu
Imenitokea mimi hyo nenda Tra kawaelezee then watakwambia upeleke affidavit, baada ya hapo nenda mahakama ya mwanzo muelezee karani tuu atakuandikia ukipata rudi TRA. UMEMALIZANuliuza gari 3years back... Sasa sikufanya transfer na hio gari sijui iko wapi kwa sasa.. Nilie muuzia hapatikani...ushauri wenu muhimu jinsi yakutoa jina langu kwenye ownership
Nzuri Sana hiyo kumbe wala huna haja ya kupaniki nenda TRA haraka pale makao makuu ghorofa ya nne chumba cha investigation utasaidika... Unakumbuka jina lake au hata contact yake?mshana jr na wachangiaji wengine... Yani hapa nilipo nishachanganyikiwa...mpaka sasa ilikua haidaiwi Road licence...ninazo nyaraka zote Mm nilivo nunua mpaka gari ilivo Ingia.. Nilie muuzia alichukua tu original card akasepa...mkataba wa Mm kumuuzia wala sijui upo wapi
Affidavit Na gari wapi Na wapi aisee!!!Imenitokea mimi hyo nenda Tra kawaelezee then watakwambia upeleke affidavit, baada ya hapo nenda mahakama ya mwanzo muelezee karani tuu atakuandikia ukipata rudi TRA. UMEMALIZA
Mmh affidavit ni hati ya kiapo kama huna baadhi ya nyaraka hasa birth certificateImenitokea mimi hyo nenda Tra kawaelezee then watakwambia upeleke affidavit, baada ya hapo nenda mahakama ya mwanzo muelezee karani tuu atakuandikia ukipata rudi TRA. UMEMALIZA
Kabla ya kujipa pressure wewe nenda TRA na namba za gari wakuchekie mmiliki wa sasa as per their records. Nilikuwa na case kama yako. Nilipoenda TRA nilikuta jamaa keshabadilisha jina kitambo...Nilie muuzia hapatikani...ushauri wenu muhimu jinsi yakutoa jina langu kwenye ownership
Hapana hahitaji kutoa chochote akienda TRA investigation department atasaidika bila kutoa ndururuChief husiumize kichwa...ukiwa na kama 250k..nenda TRA pale Samora...mdake mtu mmoja mpe story..atachezesha deal..baada ya saa moja na nusu.unapewa kadi likiwa na jina la jamaa..then jamaa atakutafuta..make hataweza lipia kodi.."ili work enzi za mkwele..sijui kwa Aucle kama itawezekana: