Nakukumbusha hatua tatu muhimu ili kukifikia kifo

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,189
9,298
wataalamu husema kifo huwa na hatua tatu

hatua ya kwanza ni kukikataa kifo,yaani hapa sasa mtu anahangaika kuhakikisha anaokoa uhai wake kwa kila namna

hatua ya pili ni makubaliano au mapatano, (wazungu husema kubargain) yaani hapa ndio anahangaika kweli mara mumkute katulia kama kafa mara yuko macho

hatua ya tatu ni kukikubali kifo (hapa sasa ndio mtu yuko tayari kufa nyie mnamuona kama amegive up) mtu huwa tayari kabisa kakubali matokeo kuwa ndio anaondoka.

asanteni
 
Mkuu hii tafakari inamaana kali, hasa katika sherehe za leo.
 
umenikumbusha bibi yangu masaa kadhaa kabla ya kufa alihangaika sana, nilikua nae usiku wote akiwa ktk hali hio nikimlaza hivi nakuta ameshageulia chini mara kalala kinyume mara kaanguka ktandani, siku hio ilikua ngumu sana kwangi aisee.
 
Suala la kifo ni chungu sana ndomana mwenyezi mungu anasema muonee huruma kiumbe chochote pale kinapotokwa na roho hakika ya roho ni chungu sana....

Wenye dhambi nzto pindi wanapotokwa na roho hupaparika kama kuku vilr alochinjwa kisha kuachiwa...hupaparika kiasi kwamba wanaweza dondoka chini au mkamkuta chini ya uvungu.....wengine hutaja majina hata ya watu walowaua.....inabd wengne washkwe kwa nguvu ili kuzuia wasidondoke kwa namna wanavopaparika...hapo ni nafasi pia ya kumuombea dua ili atolewe roho yake kwa tartbu japo ni ngumu dua hyo kupokolewa wakati huo mara nyingi tunakuwa tumechelewa maana tulvokuwa hai tulkuwa na nafasi ya kufanya toba...mara nying mtu hutokwa na roho kwa uchungu hadi anaacha haja kubwa kwenye nguo ila ni siri za maiti na mtu alomsafisha kwa mara ya kwanza sio vya kusemwa nje.....jamn roho ni chungu umauti ni jambo lingne...ndpo hapo utapomuona yule mtu alokuwa na makeke sana mkorof au alkuwa akijifanya yeye ndo kila ktu....yeye ana sauti ya mungu muda huo kalala kitandan yupo hoi hajiwez kwa lolote....

Wakat mtu anapoona hapa sipon tyr dalili kashaanza kuona za ghaibu na zrail wajumbe wake washafka basi umuomba mola wake kumwambia....

Ehh mwenyezi mungu naomba uniache dunia japo dakika 5 tu niweze kukusujudia niweze kufanya mema....

Aahh wapi muda huo hauongezi wala kupunguzwa........

Tusiish kama hatufiki tusijfanye tunajua.....

Sisi hatuna chochote wala lolote binadamu ni nothings...........
 
Back
Top Bottom