G.Man
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 1,022
- 2,065
Habari za jumapili..
Kumekuwa na maneno mengi sana kuhusiana na swala la wanafunzi zaidi ya elfu 7 kufukuzwa chuo kikuu Dodoma kwa madai tatanishi kulingana na kauli za viongozi wa nchi: 1- wanafunzi hawana vigezo
2- Wamefukuzwa kwasabab ya mgomo wa wahadhiri.
Kwa upande wangu mimi siungi mkono kufukuzwa kwao na nina washangaa wanaoungana na kauli ya Mh Rais kwamba hao wanafunzi ni 'vilaza'. Swali kwa wanaoshadadia kufukuzwa kwao ni hili;
Hivi hao wanafunzi uwezo wao wa sasa darasani(chuoni) ukoje, maana kuna ambao huwa wanatoka na div 1 form four alafu advanc wanafeli kabisa na vice versa.
Sasa kama walifeli zamani na sasa hivi wanafaulu vizuri kuna hasara gani hata kama walipata zero!!!?? Utajuaje siku ya mtihani alikuwa na matatizo binafsi akashindwa kuperfom!?
Swali za kizushi: kwa wanaofanya kazi kwenye makampuni hivi perfomanc ya waliokuwa wanakimbiza darasani na wale waliokuwa na average scores imekaaje!!?
Ni hayo tu...