NyaniMzee
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 396
- 727
Kwa mujibu wa maelezo ya Gwajima katika ibada ya Leo ni kuwa ( kama ni kweli) kuna mkubwa mmoja alikuwa standby akisubiri Shilawadu aone Gwajima "akivuliwa nguo'. Baada ya dalili ya kutochezwa ile DVD ya " mzazi mwenza" na Clouds TV ndipo bashite akabeba jeshi lake kwenda kuvamia na kuipora ile DVD. Hapa kuna swali zito sana! Ni nani huyo aliyekuwa anasubiri ubuyu huo ambaye Bashite aliona anamwangusha hadi abebe maaskari na silaha za moto kwenda kuharakisha video ichezwe na iliposhindikana crew ya Clouds ikachezea kichapo na DVD ikachukuliwa. Ni nani huyo mtazamaji was Shilawadu alokuwa anasubiri kwa hamu. Halo ndio patamu sasa. Kazi kwenu GT's