Ilikuwa zaman: Kitu unachoweza kumwamini mwanasiasa ni jina lake.Sasa hata Jina Usiliamini katu

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
Siasa ... Achen bwana. Asikwambie mtu. Siasa ni mchezo wa kishetani hasa kwa sisi waafrika. Mwanasiasa anapokuja kuomba kura kwako ni tofauti na yule ambaye utakuwa umeshampa kura.

Zaman walisema kitu unachoweza amini toka kwa mwanasiasa ni jina lake. Akisema naitwa paukwa makobelo basi ujue kweli hilo ndo jina lake....siku hizi... Ha ha ha .... Unaweza kuja kufuatilia ukakuta ana jina lingine kumbe anaitwa daub bagosha.


Msiwaamini wanasiasa.... Babu yangu alinambia mwanasiasa akikwambia kitu usishangilie.... Maana utakuwa umemwonesha umekubaliana na wazo lake kuwa wewe ni maamuma.nyamaza tu.
 
Back
Top Bottom