Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Jamani hii nchi tutaibiwa mpka lini?
Kwa sasa mizigo ya kwenda nje imeshukwa kwa rate kubwa sana sasa inaonekana tutaifidia sie tunaogiza mizigo toka nje kwa matumizi yetu binafsi.
Kwa sasa bandarini mzigo wako ukifika utazungushwa sana ili zipite siku ulipie waiting charges/fees za bandari.
Nawashauri wale mnaoagiza mizigo mjipange na gharama hizo kwa sasa wamekariri kukusanya kodi kwa nguvu.