naamka asubuhi na mawazo mengi sana kuhusu swala la majirani wasiokuwa na hoja nyeti na za msingi za kuimarisha mtaa wetu wa kamficheni, zaidi ya kulishupalia swala la mtoto wa balozi wa nyumba kumi atolewe kwenye nyumba akajitegemee kwa tabia zake ambazo wao wamesikia bila kuthibitisha maneno hayo, swali langu jee majirani hao wako sahihi kuacha mambo mengine ya msingi kbsaaa na kukomaa na kitu kisicho na manufaa ya dhati kwa mtaa wetu
Na kwa mfano akifukuzwa sisi majirani tusio na hila kwa jambo hlo tutafaidika na nini
Na kwa mfano akifukuzwa sisi majirani tusio na hila kwa jambo hlo tutafaidika na nini