Roho ya visasi ni hatari Mungu atuepushie mbali

Usoka.one

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
771
373
Kwa sasa mitandao ya kijamii imetanda matukio mengi ya roho za visasi toka kabila moja ambalo ni kubwa.Ninataka niseme hivi tuwe na tahadhari hii ni tabia ya madhabahu ya miungu yao inajidhihirisha kwa nje,lakini ndani kuna mengi zaidi.

Kuna yule aliyeketi kwenye kiti cha enzi tunaona anayozungumza ni udhihirisho kuna mengi ila moyo umepata nafasi ya kutoa hayo.Kuna yule mkubwa wa mkoa wa wafanyabiashara nae amedhihirisha madogo lakini kuna mengi.Kuna yele mfufuaji muongo au mkweli (sijui)Hapa hatupambani na watu ila miungu ya kabila hili.

Ni vyema tuwe makini kabla hii miungu haijatugawa na tukaishi kama mashetwani.Mithali 18:2.Mpumbavu hapendezwi na ufahamu,Ila moyo wake udhihirike.Mioyo ya hawa watu imeunganishwa na madhabahu ipi!!?

Pamoja na kwamba tunawaona kwenye nyumba za ibada!!Je mioyo yao imeachanishwa na miungu ya kwao na madhabahu za kwao!!?Ninaomba tuwe na tahadhari,nani anajua mtoto wake ataoa wapia na kuolewa wapi?

Visasi vinakaa ndani ya watu hata zaidi ya miaka 20.Je hawa ndugu wakimaliza miaka yao ya kuongoza taasisi zao itakuwaje?Hakuna ambaye atakuwa na kisasi na watoto wao au wajukuu wao?Mungu tuepushe na visasi na malipizi.
 
Yote yameletwa na ccm acha viendelee.Wala msimtaje Mungu kabisa kaeni mbali na jina lake
 
Usituletee upumbavu wako humu....Hiyo siyo issue ya kabila suala hapo ni hulka ya mtu binafsi toa Mawazo mgando humu.
Sijasema kabila nimesema miungu ya kabila na sijalaumu mtu na nimetoa tahadhari ili tusihawanywe na hiyo miungu.Pia soma hiyo mithali itakusaidia
 
Naamini visasi ni kama falsafa huendelea na kuendelea.

Mwenye nchi kwa roho yake ya visasi atatengeneza wanaojeruhi na wajeruhiwa, rejea undugu wa watanzania bila kujali makabila dini wala maeneo watokako enzi za mwalimu mpka mkapa, rejea post genocide Rwanda, rejea tribalism Kenya,

Kwa mawazo yangu kisasi hujengwa kutokana na viongozi kufanya kama falsafa mfano nyerere na undugu watanganyika walikua ndugu
 
Kupiga mpige ninyi, mkirudishiwa vilio mtaa mzima! Ukitaka mwanao asiishie jela anza kumfunza adabu na utii kwa jamii angali kinda.
 
Haya jana nilisema kuna miungu ya inayopenda na visasi,lakini lazima imtumie binadamu
 
Do not repay anyone evil for evil. Be careful to do what is right in the eyes of everybody. If it is possible, as far as it depends on you, live at peace with everyone. Do not take revenge, my friends, but leave room for God’s wrath, for it is written: ‘It is mine to avenge; I will repay,’ says the Lord. On the contrary: ‘If your enemy is hungry, feed him; if he is thirsty, give him something to drink. In doing this, you will heap burning coals on his head.’ Do not be overcome by evil, but overcome evil with good.” (Romans 12:17-21)
 
Back
Top Bottom