Sefu jafary
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 382
- 258
Tunayo majonzi makubwa kukupoteza ndugu yetu,mwanachuo mwenzetu Mariam mwaka wa pili (KOTC).Pamoja na changamoto zote ulizo pitia toka Udom,kasulu hadi Korogwe ambapo ndipo umauti umekufikia.Japo ndoto zako zimeishia njiani, hatuna budi kumshukuru m'ngu kwa yote sababu yeye ndo anatoa na pia anao uwezo wa kutwaa alicho kitoa.Marehemu kafariki jana tar 19/03/17 katika hospitali ya wilaya ya magunga na mwili wa marehemu umesafirishwa leo tar 20/03/17 kwenda mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya mwanga aliko zaliwa.
Rest in peace.
Rest in peace.
