delusions
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 5,003
- 1,279
Ni kitafunwa kinachopendelewa sana na watoto kikiwa katika fleva mbalimbali ukizitoa kwny pakti na kuzimwagia maji na kuzifikicha zinalainika na kuwa gundi nzitoo je hizi chama na jamii ingine ya snacks kama hii kwa hali hii ya kugeuka gundi zina madhara yeyote? Kwa faida yetu tuache kuwapa watoto