alikariri na lugha za makabila yote tzUlikuwa mpole. Ulikuwa mnyeyekevu. Ulikuwa huna jazba. Ulipiga pushapu.
Nakukumbusha tu.
tulijua una akili kumbe mbumbumbu bora hata bashite. mtu mwenye akili hakutegemea utayafanya hayo.Ulikuwa mpole. Ulikuwa mnyeyekevu. Ulikuwa huna jazba. Ulipiga pushapu.
Nakukumbusha tu.
Hili jina la Manyumbu chanzo chake ni nini?Baada ya kuona jinsi alivyo kuwa anashangaliwa nliogopa sana jinsi manyumbu yalivyo