Msaada: Nimeshidwa kuimba nyimbo ya taifa

victor moshi

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
829
1,061
Wakuu,

Nimejikuta nashindwa kuimba nyimbo ya taifa nakubaki nikihuzunika. Pia nimeshindwa kuimba ile nyingine "Tanzania ×2 nakupenda kwa moyo wote.
Nafsi yangu imegoma kabisa.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom