Namshangaa huyu MBWA

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
1,053
1,304
Kwa mtu yeyoye alifuga mbwa itakuwa anawajua vizuri sana hasa mbwa akiwa mkali,

Ukifuga mbwa au ukizoeana nae unaweza ukamchezea vyovyote ili mradi tu usimuidhi, mbwa unaweza hata kumpiga na asikasirike ilimradi kama kweri amefanya kosa

Kwa waliofuga mbwa wanajua, ukiwa na mbwa mkali nyumbani kwako panaheshimika sana na kweli panaheshimika tunaona ila mbwa akiwabwekea majirani ambao cyo wezi na kuwaacha wezi huyu mbwa lazima tumshangae

Huyu mbwa tunamuonyesha mwizi ila mbwa anajifanya asikii, ila tukionyesha wapiga kelele tu mbwa anawanyamazisha

Huyu mbwa tumempa ushahidi wa video, copy na kila kitu ila ameinamisha kichwa chini habweki, amekaa kimya lakini akisikia mtu mwingine amefanya tukio kama lile au dogo tu basi huyo mtu anakazi ya ziada

Kwa nn huyu mbwa anashindwa kumwazibu mwalifu tunayemuonyesha, tunamwamini ndio mana tukamfanya awe mbwa bora alinde kijiji chetu, anakula chakula chetu na tunamlipa pesa zetu kwa nn hataki kumwadhibu mwalifu anayekiharibu kijiji chetu

Wanamahusiano gani kati ya huyu mbwa mlinzi wetu na mwalifu ambaye alimchagua amsaidie kwenye ulinzi, tumemwambia kila kitu, ushahidi tumempa kwa nn mbwa ameinamisha kichwa chini, habweki kwa msaidizi wake mwarifu, hata usoni amwangalii kwa ishara ya kumuonya

Nachokijua kuhusu mbwa hata kama unammiliki siku ukimuuzi hana iyana atakung'ata tu, ila huyu mbwa kwa hivi anavyojifanya mkali na majirani wakaamini kuwa mkali ila anashindwa kumpa onyo mfanya msaidizi wake basi kuna jambo kubwa kati ya mbwa ambaye tumemchagua kama mlinzi wetu na yule aliyemchagua kama msaidizi wake
 
Haya Ngugi Wathiong'o tumekupata
 
tatizo hili jibwa lilishwa nyama steki ya tako na muharifu tena mbaya zaidi kwenye nyama hiyo ya tako paliwekwa sumu, na muharifu huyo anayo dawa ya kutuliza/ kumuongezea siku mbwa ili asipoteze uhai kutokana na sumu ya nyama ya tako...hivyo kamwe mbwa hawezi kumbwekea muharifu aliyebeba uhai wake...{kuna mtu ameshikwa sehemu za siri}
 
Back
Top Bottom