Wasanii hiki nikipimo cha kuwajua Je!! mnamisimamo au vi.du.du mtu

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
431
310
Kilichotokea kitakuwa ni kipimo tosha kujuwa... wasanii wetu ni vi.du.du mtu au ni wasanii wenye misimamo..

Mh alijaribu kuwatetea ktk kila kona, bila kujali hata maslai yake binafsi...mpaka kuchukua hatua mbazo najuwa kabisa aliijuwa ghalama yake...ila aliweka mbele kile alichokiamini yeye.

nasubiri kuona tamko la wasanii ktk hiki kilichomkuta ndugu yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom