We ndo january?Ngoja tuone atapandeje juu 2020 akishalimaliza kuchoma ngazi
Ina maana mtoa speech au lecture anatoa uharo mtupu, vapour au? Mbona yule aliyeweka ngazi kusubiria kaishia kula sahani wakati mwenzie anakula cake? Huu si utabiri ni reality ambayo tunayo hivi sasa.