Hujui kusoma ile iliandikwa na jamaa ni mwanahabari na kada wa ccm yule wa chadema aliikopy kwakeHiyo habari mi niliomba nakala hawakuiweka na ililetwa na kaada wa chadema sio wa ccm
Kumbe ukumbuke alivyo kopy ndo ameeneza uzushiHujui kusoma ile iliandikwa na jamaa ni mwanahabari na kada wa ccm yule wa chadema aliikopy kwake
Alieuanzisha ninani ss mnakua naakili za kushikiwa apo cilisemwa aliitoa kada wa chadema muwe na akili na msiongozwe na uchamaKumbe ukumbuke alivyo kopy ndo ameeneza uzushi
Aaah aaaah. Jana nilisikia watu sehemu wakimwita jina hilo hilo la EBOLA!Huyu jamaa yani ana athari kubwa kwa jamii kuliko hata Ebola, asipodhibitiwa hata huyo mpenzi wake anaemfuga atakuja kujuta siku moja
.
Mkuu we ndo umeshikiwa akili kidogo labda zikirudi utanielewa hivi wewe ukiniletea habari ya kizushi ulio chukua kijiweni kwako na Mimi nikaisambaza nani anaonekana kasambaza hiyo habari?Alieuanzisha ninani ss mnakua naakili za kushikiwa apo cilisemwa aliitoa kada wa chadema muwe na akili na msiongozwe na uchama
Rudi wewe co trudi "zetu". Isemee nafsi yko hata wkt ukiandika nafsi zetu hazkushiriki.kwa sasa siipendi Kabisa clouds. za mwizi arobaini, hata wakifisiwa poa tu, bora turudi zetu Azam media
Anhaaa....kumbe serikali inasikiliza na kufanyia kazi mambo ya kwenye "mamitandao"!!
Ww ndoumeshikiwa naao wenzako mwanzo uliandikaje apo uliandia imetolewa na MTU wa chadema na si ccm sasa ivi tena unageuka eti kusambaza kuana msimamo kusambaza na kutoa nivitu viwili yofautiMkuu we ndo umeshikiwa akili kidogo labda zikirudi utanielewa hivi wewe ukiniletea habari ya kizushi ulio chukua kijiweni kwako na Mimi nikaisambaza nani anaonekana kasambaza hiyo habari?