J33
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 1,552
- 1,512
Wote tunafahamu Kuna mgogoro mkubwa kati ya Serikali ya Kenya na madaktari wazalendo pamoja na chama chao.
Madaktari waneamua kugoma ili kushinikiza matakwa yao na Serikali imegoma kutimiza matakwa ya madaktari kwa sasa.
Leo hii Mtanzania anavyoenda Kenya maana take anadhoofisha jitihada za madaktari wa Kenya kupata wanachohitaji Serikalini hivyo adui namba Moja wa madaktari wa Kenya watakuwa madaktari wageni kutoka Tanzania. Maana yake nadajtari wa Kitanzania hawawezi kuwa salama kwa vyeyote wawapo Kenya na Serikali ya Kenya haina uwezo wa kuwalinda madaktari 500 ambao watakuwa wanafanya kazi countryside.
Natambua shida ya ajira nchin Ila kwa hali ilivyo kwa majirani ningekuwa na MDOGO wangu anataka kwenda nisingemshauri aende labda TU kama nataman aende ili akirudishwa kwenye box nimridhi mkewe.