FakeGirl Naomi
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 226
- 705
Ibaki hivyohivyo kwamba meli imezama rasmi Leo, ukishakula nyama ya mtu, huwezi kuacha. Watajiuliza, sasa sisi mbona tumebaki wenyewe, hapo wataanza kubaguana kwa udini, ukabila, na hata mambo binafsi, haijalishi ni ya kijinga namna gani, yatakuwa ya kitaifa. Na eventually, yatabadili hata mwelekeo wa taifa.
TUWEKE CHECKPOINT VICHWANI MWETU
Tukisahau, Tutarudia palepale
"The price of Ignorance is going through the same circle of mistakes"
Long Life JF
Wajukuu zetu watajua kiasi gani tulikuwa mataahira
TUWEKE CHECKPOINT VICHWANI MWETU
Tukisahau, Tutarudia palepale
"The price of Ignorance is going through the same circle of mistakes"
Long Life JF
Wajukuu zetu watajua kiasi gani tulikuwa mataahira