Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,881
Serikali ya awamu ya Tano ikiwa katika jitihada za kuirudisha nchi katika mstari,yatupasa tukubali kuwa kila Mtanzania alikosea.
Kila mtu alikosea wether kwa Direct or Indirect,ukiwa ndani ya mfumo au nje ya mfumo,Tukishajua hilo hakuna haja ya kuanza kumnyooshea mwenzako kidole kimoja wakati vingine vyote vilivyobaki vinakupoint wewe.
La msingi Tukishajua Wapi tulikosea turekebishe tuendelee na safari,tushirikiane kwa pamoja kuanzia wananchi mpaka Serikali tuijenge ile Tanzania ambayo kila mtu anaitaka.
Nukuu:Usitoe kibanzi kwenye jicho la mwenzako kabla hujatoa Boriti machoni mwako.
Nawasilisha...