baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Ebu watanzania tujaribu kujifunza hata kwa majirani zetu wa act vipi katika mambo yao, hakuna maendeleo/mabadiliko yanayokuja bila gharama, tukiogopa kuingia gharama basi tutabakia kuwa wamitandaoni tu na porojo na hakuna badiliko lolote.