Tuliaminishwa kuwa tumepata chaguo toka kwa Mungu

CHAPTER5

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
556
506
Waungwa kichwa cha habari hapo juu cha husika.
Muda mfupi baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu kuna baadhi ya watanzania ambao ni wafia chama, walijaribu kuja na maneno kuntu eti Tanzania tumepata kiongozi ambaye Mungu amependezwa naye.

Ila kuna baadhi ya wabobezi maarufu kwenye masuala ya kisiasa walipingana na propaganda za hao wafia chama badalayake wakaenda mbali zaidi na kusema Tanzania bado hatuna kiongozi wanaye muita chaguo la Mungu ila tusubiri wakati uongee
 
Back
Top Bottom