Vile vyandarua tulivyopewa mwaka juzi vimeanza kuchanika(vimechoka)

youngkato

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,254
2,909
Vile vyandarua tulivyopewa mwaka juzi vimeanza kuchanika(vimechoka)

Nlikuwa nauliza wahusika kuna uwezekano na mwaka huu tukapewa zawadi nyingine ya vyandarua kwa kila kaya?

NB: Siku hizi mbu wameongezeka sana kuliko enzi za jk
91566d82d507e9b94ac930c41f240d88.jpg
 
Sijawahi kutumia hivyo vyandalua, Nilipewa Vinne mpaka leo vipo kwenye Vifungashio vyake.

Jirani yangu aliweka kwenye bustani ili kuzuia kuku.
 
Acheni kupenda vya bure.

Hivi vyandarua ndio mliambiwa mkifua maji msimwage mashambani yataharibu mazao?

Vile vyandarua tulivyopewa mwaka juzi vimeanza kuchanika(vimechoka)

Nlikuwa nauliza wahusika kuna uwezekano na mwaka huu tukapewa zawadi nyingine ya vyandarua kwa kila kaya?

NB: Siku hizi mbu wameongezeka sana kuliko enzi za jk
91566d82d507e9b94ac930c41f240d88.jpg
 
Vile vyandarua tulivyopewa mwaka juzi vimeanza kuchanika(vimechoka)

Nlikuwa nauliza wahusika kuna uwezekano na mwaka huu tukapewa zawadi nyingine ya vyandarua kwa kila kaya?

NB: Siku hizi mbu wameongezeka sana kuliko enzi za jk
91566d82d507e9b94ac930c41f240d88.jpg

Upo mkoa gani?

Mwaka jana pwani tumegaiwa tena.

Ni vyandarua vizuri sana kuliko hata vya mchina madukani.

Nnavyo toka vya mwaka juzi, ukiviona ni kama vimetoka juzi dukani, ni matunzo tu.
 
Wewe ni mchochezi sana.Kwani umesahau mwaka jana mwishoni sigarakali iligawa vyandarua kila kaya au wewe uko mkoa gani?
Msosi na chandarua bora nini?
 
Huku tunapoishi mbu wote wamehama nchi, wamechoshwa na vituko vya mkuu
 
Vile vyandarua tulivyopewa mwaka juzi vimeanza kuchanika(vimechoka)

Nlikuwa nauliza wahusika kuna uwezekano na mwaka huu tukapewa zawadi nyingine ya vyandarua kwa kila kaya?

NB: Siku hizi mbu wameongezeka sana kuliko enzi za jk
91566d82d507e9b94ac930c41f240d88.jpg
Huku kitaani kwetu vimewekwa kama kuzuia kunguru wasichukue vifaranga na wengine wamezungushia kwenye bustani za mboga kuku wasiingie
 
Upo mkoa gani?

Mwaka jana pwani tumegaiwa tena.

Ni vyandarua vizuri sana kuliko hata vya mchina madukani.

Nnayo toka vya mwaka juzi, kama vimetoka juzi dukani, ni matunzo tu.
Kweli dadaangu huenda ni utunzaji maana kuna wengine tangu wapewe hawajawahi kufua na kuhusu kuchanika huenda miguu ya mtumoaji ikawa na masagamba maana huchangia sana kurarua net
 
Upo mkoa gani?

Mwaka jana pwani tumegaiwa tena.

Ni vyandarua vizuri sana kuliko hata vya mchina madukani.

Nnavyo toka vya mwaka juzi, ukiviona ni kama vimetoka juzi dukani, ni matunzo tu.
Mkuu tulipewa tutumie sio kutunza
 
Sijawahi kutumia hivyo vyandalua, Nilipewa Vinne mpaka leo vipo kwenye Vifungashio vyake.

Jirani yangu aliweka kwenye bustani ili kuzuia kuku.
Dah! Huyo jamaa yako usimtaje kabisa. Kuna mmoja hapa kijijini kwangu kashitakiwa kwa tabia hiyo. Mashtaka yake :Kuhujumu mali ya umma na kudharau rasilimali za nchi
 
Back
Top Bottom