Idrisa rashid+radar scandal=kushtakiwa kariuni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Idrisa rashid+radar scandal=kushtakiwa kariuni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NasDaz, Sep 18, 2009.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Alianza Gray Mgonja; huyu tuliambiwa kastaafu( kwa mujibu wa sheria?!) Wiki au miezi michache baadae, Mgonja akaburuzwa kortini kwa matumizi mabaya ya ofisi ( Alex Stewart Scandal)! Leo hii nimeona tangazo, recruitment of Managing Director- TANESCO, nafasi ambayo hadi sasa inashikiliwa na Idris Rashid!!! Ajabu, kwa mujibu wa gazeti la Dar Leo, wao (TANESCO) hawana taarifa juu ya tangazo hilo la kuajiriwa Managing Director!!! Inaashiria nini hii kwa Dokta Rashid? Au ndo safari ya kuelekea Mahakama ya Kisutu kujibu tuhuma za kashfa za rada inakaribia?
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mkuu title yako vipi?
   
 3. Jambazi

  Jambazi JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2017
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 14,445
  Likes Received: 12,624
  Trophy Points: 280
  Sawa sawa
   
Loading...