Askofu Gwajima aivuta Ulaya Dar; mataifa 24 yatuma wajumbe

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Gwajima kiboko ya mafisadi na walevi Wa madaraka
FullSizeRender_19(2).jpg
 
Watawala "wametuangusha" acha tu tushinde kanisani kwa Gwajima tujifariji kwa "ubuyu" wake aka SHILAWADU

Avatar yako kama inatuma kaujumbe fulani hivi - ili tuzidi kumwombea kwa Mungu (sijui huyu wa Dar es Salaam?).
 
Gwajima kiboko ya mafisadi na walevi Wa madarakaView attachment 487040
hongera zake ila nashauri ujumbe mkubwa wakija ingekuwa vizuri kuwapangia pia Safari za kuzuru mbuga zetu pia ili watuingizie pesa za kigeni.Waambiwe gharama Za utalii mapema. Iliniuma ule mkutano wa mabohora wa dunia uliofanyika Tanzania ungeunganishwa na program ya wao kutalii tungeingiza kama nchi mamilioni. Nashauri wasiishie kusali tu
 
alafu pesa hizo alipwe Bashite mshahara bora waishie church tu kisha wasepeee zao
 
alafu pesa hizo alipwe Bashite mshahara bora waishie church tu kisha wasepeee zao
Gwajima pia kanisa Lake sadaka zitaongezeka waumini wake wanaofanya kazi serikalini mishahara wakiongezewa
 
Back
Top Bottom