Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,683
Niaje wazeiyaaah....
EBANA SAWA
Kuna biashara nataka kufungua Mboka Manyema inahitaji Freezer..
Sasa niko kwenye mchakato wa kununua Freezer kariakoo na kuisafirsha kwenda Tabora..
Kabla ya kununua inabidi kujua inafikaje Mboka... Ni kampuni ipi nzuri wanahusika na kusafirisha mizigo kutoka Dar kwenda Tabora nikawaone...
Gharama zao pia..
Freezer ya Futi tatu na nusu hivi...
Haiwezi kukaa kwenye basi la abiria..
Tabora Freezer ni 600.
Kariakoo Freezer ni 450. Kwahiyo kama kusafirisha itakua 50 jumla 500.
Hivo nikinunua Kariakoo nakua nimesave 100.
Ahsanten wakuu wangu.