Ni mara yangu ya kwanza kupost hapa jf
Mm ni mtumiaji wa haya mafuta ya taa sometime mkaa ila jamani nataka nibaki kwenye unafuu au gharama ndogo
Kati ya mkaa na mafuta ya taa kipi ni nafuu ama afadhali kwa mtu wa kipato cha chini?
Binafsi natumia jiko la mchina- paraffin wick stove. Jiko nafuu kweli kweli ukilinganisha na mkaa, gesi, umeme.mkuu unatumia mafuta ya taa kupikia???
sure hiyo itakua ni jiko nafuu ukilinganisha na la gesi,japo efficiency kwenye jiko la gesi ni kubwa kuliko la mafuta ya taaBinafsi natumia jiko la mchina- paraffin wick stove. Jiko nafuu kweli kweli ukilinganisha na mkaa, gesi, umeme.
Hakuna jibu la moja kwa moja hapo.. fanya hiviNi mara yangu ya kwanza kupost hapa jf
Mm ni mtumiaji wa haya mafuta ya taa sometime mkaa ila jamani nataka nibaki kwenye unafuu au gharama ndogo
Kati ya mkaa na mafuta ya taa kipi ni nafuu ama afadhali kwa mtu wa kipato cha chini?
mkuu unatumia mafuta ya taa kupikia???
Dah...Ngoja nikuchanganye kidogo...Ni mara yangu ya kwanza kupost hapa jf
Mm ni mtumiaji wa haya mafuta ya taa sometime mkaa ila jamani nataka nibaki kwenye unafuu au gharama ndogo
Kati ya mkaa na mafuta ya taa kipi ni nafuu ama afadhali kwa mtu wa kipato cha chini?
tafuta kuniHigher calorific value of household fuel
mkaa - 29000 kj/kg
mafuta- 43000kj/kg
gesi (lpg) -46000 kj/kg
Hivyo gesi imesheheni nishati nyingi kuliko mafuta ya taa na mkaa.
Bei
Mkaa ????tsh/kg
mafuta 1600 Tsh /litre= 1900 tsh/kg
gesi 3400 Tsh/kg
Ukizingatia bei ni nafuu zaidi kutumia mafuta kuliko gesi (HCV ya gesi na mafuta zinalingana).
Angalizo assume fuel efficiency ya paraffin stove na gas burner equal.
Shosti hapo umemaliza kila kitu! Mleta mada atafaidika akifuata ushauri wako.Miye siku nyingi nimeachana na mkaa na mafuta taa/jiko la mchina. Sasa ni mwendo wa mtungi mdogo wa gesi wenye mafiga. Raha sana!Kiboko ya vyote ni gesi. Kwa sababu utaiwasha pale tu unapohitaji na kusitisha matumizi mara baada ya uhitaji wako. Mkaa unakupotezea energy nyingi ukishamaliza kupika. Mafuta ya taa naona kama ni bei ghali, sina hakika lakini.
Kuna mtungi mdogo wa gesi ambao umeunganishwa na jiko kabisa unafaa zaidi kwa mabachela.
Umeelewa au shule ndio shida?tafuta kuni
Hivi asilimia ngapi ya watanzania sayansi angalau basic inapanda?Dah...Ngoja nikuchanganye kidogo...
Kati ya mkaa na mafuta ya taa/ndege kiasi kikubwa cha nishati kinabebwa ndani ya mafuta ya taa/ndege. Mkaa una mgandamizo msongamano wa kiasi cha 10MJ kwa kila uzito wa kilogram 1 na mafuta ya taa ni 46MJ kwa kila kilogram 1.
Bei ya mafuta huku kwetu ni karibu shilling 1900 kwa kilo 1....... na mkaa ni karibu shilingi 1500 kwa kilo 1...sasa kwa kuzingatia matumizi ya kawaida ya nyumbani...joto linalopotea wakati wa kutumia ni kati ya asilimia 30 hadi 80 kwa jiko la mkaa na kati ya 5 hadi 25 kwa jiko la mafuta.... Muda wa kufikia kwenye mchanganyo mkubwa (kukolea kwa moto) ..mkaa hutumia kati ya dakika 5 hadi 20 wakati mafuta ni kati ya nusu dakika hadi dakika 2.....mkaa hutoa joto kwa mtindo wa kielpsi wakati mafuta mtindo wake ni wa kitrapezia.......
Baada ya maelezo hayo naona kila kitu kiko wazi sasa .... Amua mwenyewe
Dah... Wengi tu.....Hivi asilimia ngapi ya watanzania sayansi angalau basic inapanda?
Dah.... Safi sana.... Wengine tunatumia jua kufikia wakati wa mchana.... usiku tunatumia mav.i ya ng'ombeMi natumia kuni kupikia so sina jibu nasoma post za watu tu