Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Raisi anaweza tupia lawama wahariri wa magazeti na kusahau kuwa wao ni wafanyabiashara. Na Biashara ni matangazo.
Wao sio wajinga kuona hawazipi kipaumbele habari zako. Wao wanaangalia ni habari zipi zinavutia wateja mpaka wanunue magazeti yao.
Unapoona habari za kiserikali zinapuuzwa tambue kuwa wamiliki wa magazeti wamepigwa hasara sasa wameamua kutafta njia mbadala kuongeza mvuto wa magazet yao.
Hapa mweshimiwa ni wewe tu kuwa mbunifu kama ulivyofanya jumapili ya leo.
Kwakuwa wo hawakupangii, ingekuwa ni busara kama nawao usiwapangie waandike nini. Sidhani kama huwa unawasaidia kulipa kodi. Au pale wanapopata hasara, sidhani kama huwa unawafanyia compensation.
Ni hayo tu.
Msalimie Makonda